Haya mengine kuhusu ishu ya Man United na Neymar
Ripoti mpya zinadai kua Neymar atasaini mkataba
mwingine wa pesa nyingi klabuni Barcelona na kuachana na uvumi wa Man United
Nyota huyo kwa sasa nae amekua akihusishwa sana na Man United huku The Guardian wakisema kua vyanzo vinadai Neymar anaweza kufikiria kuhamia Red Devils.
Hata hivyo mchambuzi mmoja wa La ligaGuillem Balague ameibuka na kudai kua Neymar anatarajia kuongeza mkataba mwingine na wakali wa Catalan.
Mchambuzi huyo ame tweet "Neymar atasaini upya mkataba wake na Barcelona. Lakini kabla hajasaini stori nyingi zitatokea. Ni mchezo wa kizamani"
Comments
Post a Comment