MWACHENI MAMA AITWE MAMA
Imekuwa kawaida kuwa kila ifikapo tarehe 8 ya mwezi
wa tatu tunaazimisha siku ya mwanamke Duniani kwa sababu mama ndio kiungo muhimu
katika familia maana yeye ndiye ana kazi kubwa ya malezi tangu mtoto yupo
tumboni hadi anakuwa kwaiyo mama ananafasi kubwa katika familia.
Mueshimu mama ili hupate misingi mizuri ya kujua
kuishi na watu pamoja kuwa na akili iliyo thabiti maana bila mama baba asingepata jina la baba fulan.
Kwaiyo tunapo azimisha sherehe hiyo ya siku ya
mwanamke Duniani lazima tutambue kuwa bila ya mama bado atujakamilika .
Yoteyote tuwaeshimu mama zetu ili tuweze kupata
hekima ya maisha marefu duniani na siku zote za maisha mpe nafasi mama maana
yeye ndio anajua uchungu wa mwana.
Tuwapende mama zetu ili tupate miaka mingi na heri duniani.
Comments
Post a Comment