Unajua kiungo kikubwa zaidi kwenye Mwili?, Unajua kina uzito gani? Fahamu hapa
Mwili unaviungo vingi kama ngozi, Moyo ini, Mapafu na vingine kibao, lakini ndugu msomaji wa KwataUnit.com umewahi kujiuliza kuwa ni Kiungo gani huwa kikubwa zaidi ya Vingine? Kama Ulikuwa hufahamu Tupo kwaajili ya kukufahamisha, NGOZI ndiyo inayotajwa kuwa kiungo kikubwa zaidi, Ngozi ya mtu mzima inakadiriwa kufikia uzito wa kilo 10.8 na zaidi. Hii Hutegemea na Urefu na Umbo la Mtu pia, lakini mara nyingi hufikia uzito huo, Ngozi hata kwa kuonekana tu huonekana imefunika sehemu nyingi za mwili hasa za ndani, Usikose kuwa unaungana na KwataUnit.com kwa Habari nyingi zaidi.
Comments
Post a Comment