WATANZANIA WANASUBILIA KATIBA YAO MPYA WAONE KILICHO BADILISHWA
Ndani ya bunge maalumu la katiba mjini Dodoma wakati wananchi wakitegemea kuwa walio chaguliwa kwenye Bunge la katiba kuwa watatekeleza maoni yaliyo tolewa na wananchi badala yake kichoendela saizi katika Bunge la katiba ni utani na masihala ambayo hayana msingi katika Bunge hilo maalumu .
Kingine katika Bunge hilo la katiba kuna baazi ya wajumbe wanalala tu na sio kuangalia kilicho mpeleka katika Bunge la katiba sio haki wanachokifanya maana wananchi wanalalamika kuhusiana swala hilo la kuto wajibika baadhi ya wajumbe katika bunge hilo tangu waliupo enda katika Bunge hilo.
Na huko Mjengoni Dodoma Bunge la kujadili katiba limehairishwa na Mwenyekiti baada ya kutokea kwa vurugu baada ya kutoelewana kwa baadhi wabunge kati ya Mh. Aboubakary ambaye ni Mwakilishi Mkuu wa Serikali ya Zanzibar alipomuomba Mheshimiwa Mwenyekiti asikubali kuruhusu baadhi ya majina ya wachangiaji wakati majina hayo hayajafika kwenye kamati inayohusika na uratibu wa rasimu.
Baadhi ya wachangiaji akiwemo Ole Sendeka ambaye wameonekana majina yao yanajirudia ndipo aliposimama na kusema inawezekana yeye Ole Sendeka hoja zake na baadhi ya wajumbe wengine zinawagusa baadhi ya wajumbe wanaoshughulikia kanuni hizo zinazojadiliwa sasa.
Mwenyekiti wa muda wa bunge hilo Mh. Pandu Kificho alilazimika kusimama na kuwaomba wajumbe wawe watulivu ili kuhakikisha kikao kinaendelea baada ya mheshimiwa Aboubakary kusimama kumjibu Mheshimiwa Ole Sendeka kuwa anadhani Mheshimiwa Olesendeka ni mchanga sana kwenye masuala ya sheria maana yeye amaeanza miaka ya 1980 wakati mheshimiwa Ole sendeka anatokea Simanjiro na ana miaka 10 tu hana lolote kwenye masuala hayo ya sheria na hana anachokijua.
Mpaka mwenyekiti aliamua kusimamisha bunge kwa muda..
Comments
Post a Comment