VODACOM WAMEJIPANGA KUKUZA VIPAJI NCHINI





Nikampuni inayotoa huduma za simu za mkoni nchi Tanzania . na ina miaka miaka mingi tangu ianze kutoa huduma zake kwa kuwa hudumia watumiaji wa simu nchini.

Pia pamoja na kutoa huduma za kimtandao lakini pia wanazamini ligi kuu ya mpira nchi Tanzania na ligi hiyo imepewa jina la (Vodacom premier leuge).

Vilevile awaja ishia hapo bado wana mipango ya muda mrefu ya kukuza vipaji kwa watoto ili nao wafike malengo katika maisha yao ya kimpira.

Wanacho kifanya Vodacom ni jambo zuri maana wameona katika nchi yetu akuna muamko wa kukuza vipaji  kwa watoto wadogo kwaiyo wsameliona hilo ndio maana wameamua kulifanyia kazi swala hilo la kukuza vip[aji Nchini.

Na kuna ligi walianzisha wiki moja iliyopita ili jumuisha wilaya tatu za mkoa wa Dar es salaam yani ILALA,KINONDONI pamoja na TEMEKE ambapo kila wilaya ili toa timu nne za shule za  sekondali ili kuwaita vijana kushiriki katika Michezo.

Comments

Popular posts from this blog

Unajua kiungo kikubwa zaidi kwenye Mwili?, Unajua kina uzito gani? Fahamu hapa

MAMBO YA YANGA NA AL AHLY