BASATA YA WAKUMBUSHA WASANII ILI WAWEZE KUPATA ELIMU YA SANAA
Balaza la Sanaa Tanzania liko pamoja na wasanii wote
kuakikisha kuwa kila msanii anapata haki yake kisanaa maana wao ndio wanawatia
nguvu wasanii pale ambapo wanakosea katika kazi zao za sanaa.
Vilevile Basata wana siku ya jukwaa la sanaa ambalo linakuwa
kila juma tatu ya mwanzo wa wiki linawakutanisha wasanii wote wale wenye majina
makubwa na wale ambao ni wadogo katika sanaa.
Pia balaza la sanaa linatoa mafunzo ya kisanaa kwa
muda wa miezi mitatu kwa makundi tofauti ya wasanii na fani walizo nazo kama
vile,uwimbaji,sanaa ya uchoraji,sanaa ya maigizo pamoja na fani zingine wakzo
nazo wasanii.
Wasanii wamepewa nafasi kubwa kwa kutoa kiasi kidogo
fedha ili kuweza kujiunga na chuo hicho lakini tatizo linakuja kuwa muamko wa
wasanii wanao jitokeza kujiunga na balaza hilo la sanaa ili kuweza kupata
utaalamu zaidi katika fani zao za sanaa.
Watanzania inabidi tuamke kupitia fulsa tunazo
zipata ili kuweza kufika malengo tulio tarajia kufika maana chamsingi kuchanga
mkia tenda pale linapo tokea.
Na kama kweli tuna wasanii wengi nchini na awajui
wapi pakupatia utaalamu wa sanaa zao Basata wamechukulia uzito swala hilo
kushirikiana pamoja na wasanii hao wanao taka kupata utaalamu wa sanaa zao walizo nazo.
Chamsingi
wote kuwa wa kwanza kwa fulsa zinazotokea katika nchi yetu maana fulsa
zinazo tolewa na serikali yetu sababu kuwa fulsa hizo ni haki ya watanzania
wote kuzipata maana ni haki yetu kupata tuwe
uchu wa mafanikio kama wenzetu walivyo endelea katika sanaa.
Comments
Post a Comment