Siku ya wapenda nao ya tarehe 14/02/2014


Ni siku ambayo ilikuwa inasubiliwa sana kwa wale ambao wapo katika mahusiano ya kimapenzi lakini ata wale ambao wanapenda marafiki zao pamoja na wazazi.

Pamoja kufurahia mahusiano ya na familia zingine na katika jamii zingine  tunaoishi nao kila siku katika maisha yetu kitu cha msingi kuishi kwa amani na upendo na watu katika jamii zetu.

Pamoja tunaweza tukaendelea kuishi kwa amani na upendo katika maisha yetu valentine njema.

Comments

Popular posts from this blog

Unajua kiungo kikubwa zaidi kwenye Mwili?, Unajua kina uzito gani? Fahamu hapa

MAMBO YA YANGA NA AL AHLY