Posts

Showing posts from October, 2013

WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKIJUMUIKA PAMOJA KWENYE EID

Image
  Waumini wa dini ya kiislam wakisikiliza Khutba ya Eid Ul -udh -Hiya         Dhul -Hijjah katika uwanja wa Mbagala Zakhiem Jijini Dar es Salaam
LEO NI SIKUKUU YA EID UL-UDH-HIYA DHUL-HIJJAH Nisiku ambayo waisilam wa mkoa wa dar es salaam wamejumuika pamoja kwa kushukuru mwenyezi mungu kwa yale ambayo wamejaaliwa hizi cku ambazo wapo duniani