KINDA AJITABILIA MAZURI
Na Eligius Nyoni MCHEZAJI kinda wa klabu ya majimaji ya mkoani Ruvuma, Antony Mwingira amesema kwamba licha ya yeye kuwa ndio mara yake ya kwanza kucheza katika ligi kuu ya Tanzainia ameaidi kufanya mazuri kama atapewa nafasi ya kucheza katika kikosi hicho.